KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA. 66666666607 AU 0717166607

Monday, September 24, 2012

SHULE ZA SEKONDARI MKOA WA MBEYA ZACHUANA KUSAKA BINGWA WA MKOA KATIKA KIKAPU KWA UDHAMINI WA COCA COLA KUPITIA KINYWAJI CHA SPRITE,

,Mwanafunzi wa shule ya sekondari Wenda, Gaudence Chrispine akimtoka mwanafunzi wa shule ya seokondari Iyunga zote za jijini  Mbeya, wakati wa mashindano ya kutafuta timu ya mpira wa kikapu ya Mkoa wa Mbeya, mashindano yalifanyika jana katika viwanja vya Youth Center wa Jjjini Mbeya, ambapo mashIndano hao yalidhaminiwa na kampuni ya Coca Cola kupitia kinywaji chake cha Sprite.
 Mchezaji wa mpira wa kikapu toka shule ya sekondari Wenda ya jijini Mbeya, Gasper Benedict akiondoa mpira katika eneo goli la timu yao ambapo walichuana na wachezaji wa shule ya sekondari Iyunga, wakati wa mashindano ya kutafuta timu ya Mkoa wa Mbeya, yanayodhaminiwa na kampuni ya Coca Cola,kupitia kinywaji cha Sprite, Mashindano hayo yalifanyika katika kiwanja cha Kikatoliki cha Jijini Mbeya.

Wachezaji wa shule ya sekondari Iyunga wakishambulia nyvu za timu ya shule ya sekondari Wenda zote za jijini Mbeya, katika mashindano yaliyofanyika viwanja vya Youth Center ya jijini Mbeya, mashindano hao yamedhaminiwa na kampuni ya Coca Cola kupitia kinywaji chake cha  Sprite  ambapo ilitafutwa timu ya Mkoa wa Mbeya ya mpira wa kikapu.

No comments:

Post a Comment